Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Unajua hata ukisema tu MIMI SIMBA! inaleta ladha... Sasa jaribu kusema mimi yanga[emoji23]
Hujakosea mkuu inaleta ladha sana kama vile ilivo ladha kusema MABIBI NA MABWANA ....ila jaribu kusema MABWANA NA MABIBI.....

Vile vile SIMBA NA YANGA alafu jaribu kusema YANGA NA SIMBA

Kwa haraka haraka hapo utagundua yupi BIBI na yupi BWANA
 
Back
Top Bottom