Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Simba
Chelsea/real madrid
Chagga boy
Roman Catholic
Chadema in blood
 
Sio kweli mnajistukia tu.bingwa wa ndumba ni Congo na Nigeria,lakini wote Plateu na As Vita walikufa kwa Mkapa mchana kweupeee.
 
Mmemnunua kwa gharama lakini bado ajatukera kisasawa kama alivyokua anawakera wakati akiwa kwetu.bado hajafunguka sijui anaamuogopa mzee tozi mtu mbady!
Kule alikuwa anakera kwa sababu ya njaa...saiv mwacheni afanye kazi yake...yule ni MSEMAJI/MHAMASISHAJI na wala sio MKERAJI kama alivokuwa kwa TAJIRI WA INSTA
 
Back
Top Bottom