Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

[emoji16][emoji16][emoji16] Yule tumemnunua kwa fedha nyingi sana baada ya kuona mnatuletea madharau tu kila siku.
Mmemnunua kwa gharama lakini bado ajatukera kisasawa kama alivyokua anawakera wakati akiwa kwetu.bado hajafunguka sijui anaamuogopa mzee tozi mtu mbady!
 
Huko ndo kuna pisi kali dada. Fanya urudi Yanga.
Marafiki zangu wengi wa Simba wamerudi Yanga na Manara bado wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi huyu dada naanzaje labda nikufwe
Screenshot_20210909-124456_Gallery.jpg
 
Mie mji mkuu fc.... baadae nikahamia CDA huko sikufua dafu nikawa Reli napo ikawa shida, pamba nao wakaniangusha.

Nikaona niwe mnyama tu.
 
Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga.

Yaani yeye na simba au yeye na Yanga.

Haya hebu tutajane hapa ili tujuane.

kuna watu wanaojulikana kabisa na wengine hawajulikani ila wanaweza kujitaja tu wenyewe

NAANZA MIMI 1:YANGA
Dah! UTOPOLO [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe!!
 
Back
Top Bottom