Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Msukule aliondoka analia.
jana kwenye press akuongea kwa uhuru unamuona kabisa kama kuna kitu kimembana kwenye nafsi.
Sio kweli pale ni furaha ilimzidi ya kutoka utumwani....alichokwa kuwa chini ya mke ya bosi
 
sasa kama hujui umri wako unaulizia kutokea lini hicho nilichosema?
Mna akili kweli?unaposema the return of champions kwenye club bingwa lini mlichukua club bingwa Kama siyo uzuzu
 
Mimi pia ni shabiki wa Thimba!! Thimba ya Moo!!
 
Kama kawaida [emoji881][emoji881] SIMBA hapa
 
Back
Top Bottom