dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
meona eehThe return of the champions
Naona umecomment na parody [emoji28][emoji28][emoji28].Leo tunachukua ubingwa wetu
Hapo sawa.....YANGA.Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga.
Yaani yeye na simba au yeye na Yanga.
Haya hebu tutajane hapa ili tujuane.
kuna watu wanaojulikana kabisa na wengine hawajulikani ila wanaweza kujitaja tu wenyewe
NAANZA MIMI 1:YANGA