Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu nikachapiwa mbaya sana, madharau kama yote, upepo wa pesa ulipotea, viazi hola, mpunga hola, Vitunguu hola, nyanya hola nikapigwa mpapaso kila sehemu.
Huyo demu Kwa uchache alichapwa na mtu tatu kwa mpigo John, Philip, Fred.
Ilibidi niwe bwege nisubirie upepo ukae sawa.
Walahi yule Mbwa alinitesa usingizi nilikuwa silali halafu nilikuwa na Vimeo vya madeni ya Shamba kama Milioni 8 hivi.
Mungu acha aitwe Mungu sijui nilichomoka vipi, nikafufuka kiuchumi, basi ndio vile tena mwisho wa ubaya ni aibu.
Unasahau ukishabarikiwa maisha yanasonga.
inshallah nashukuru Mungu ananipenda.nimechanua tena.
karibu wahenga wa kuchapiwa kama mimi.
Wakati hufika kila mtu na mnyonge wake,
Note: Karma is real