Tujuane tuliochapiwa Wake zetu, wachumba, wapenzi wetu baada ya Kuyumba Kiuchumi

Tujuane tuliochapiwa Wake zetu, wachumba, wapenzi wetu baada ya Kuyumba Kiuchumi

Acha kabisa mwanamke ukiyumba kiuchumi ujue sio wako tena huyo. Mwanawane hawa ndio maana mie najisemea ni mashetani hawana utu kabisa. Wanasahau mema yote uliyowafanyia.
Kweli mwenzeo unamwambia huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni....pumbaf kabisa!!!
Mkuu umeongea kwa uchungu sana
 
Hii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu nikachapiwa mbaya sana, madharau kama yote, upepo wa pesa ulipotea, viazi hola, mpunga hola, Vitunguu hola, nyanya hola nikapigwa mpapaso kila sehemu.
Huyo demu Kwa uchache alichapwa na mtu tatu kwa mpigo John, Philip, Fred.

Ilibidi niwe bwege nisubirie upepo ukae sawa.

Walahi yule Mbwa alinitesa usingizi nilikuwa silali halafu nilikuwa na Vimeo vya madeni ya Shamba kama Milioni 8 hivi.

Mungu acha aitwe Mungu sijui nilichomoka vipi, nikafufuka kiuchumi, basi ndio vile tena mwisho wa ubaya ni aibu.

Unasahau ukishabarikiwa maisha yanasonga.

inshallah nashukuru Mungu ananipenda.nimechanua tena.

karibu wahenga wa kuchapiwa kama mimi.

Wakati hufika kila mtu na mnyonge wake,

Note: Karma is real
Jana nimepoteza kama milioni 3 hivi hivi kimasihara tu ila nikajua ni karma za ujanja ujanja wa kupiga pesa
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana
Inauma sana bro..yaani mtu ulijitolea kweli kweli kwake huduma umempa alafu mapito tuu ndio unaona sifai tena...inauma sana tena sana.

Kwa kweli mie mtu hanibadilishi mtizamo hasi kuelekea wanawake ata kama motoni nipo tayari kwenda lakini suala la kupenda mwanamke hapana kabisa mie nitawatumiaga tuu kama chombo cha starehe
 
Mi Niko na Mjikenda Mixer na Mkunya nimesahau yote, though I have kept 40% away from love Nampa 60% basi
 
Maisha ni safari yenye mabonde na milima....... hongera kwa kuamka na kuendelea na safari baada ya kuanguka
 
Back
Top Bottom