Dukani
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 1,136
- 1,652
Pole mkuu kwa mkasa uliokukuta,,,story inafanana na yangu kabisa yule shetani niliishi naye miaka kumi,ikatokea yeye kuugua nikauguza miaka mitano nilipoteza nyumba biashara viwanja kwaajili ya kumuuguza mungu akasaidia akapona,,,baada ya yeye kupona, hali ya yangu kiuchumi ikawa mbaya hapo ndo nilijua sura halisi ya yule mwanamke,,aliliwa na rafiki yangu kabisa nilipogundua niliondoka na kwenda kuanza maisha upya mkoa mwingine namshkuru mungu ameniinua tena,,, popote alipo mungu atamlipa kwa ubaya alionifanyia mbwa yule.