Tujuane tuliochapiwa Wake zetu, wachumba, wapenzi wetu baada ya Kuyumba Kiuchumi

Mkuu umeongea kwa uchungu sana
 
Jana nimepoteza kama milioni 3 hivi hivi kimasihara tu ila nikajua ni karma za ujanja ujanja wa kupiga pesa
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana
Inauma sana bro..yaani mtu ulijitolea kweli kweli kwake huduma umempa alafu mapito tuu ndio unaona sifai tena...inauma sana tena sana.

Kwa kweli mie mtu hanibadilishi mtizamo hasi kuelekea wanawake ata kama motoni nipo tayari kwenda lakini suala la kupenda mwanamke hapana kabisa mie nitawatumiaga tuu kama chombo cha starehe
 
Mi Niko na Mjikenda Mixer na Mkunya nimesahau yote, though I have kept 40% away from love Nampa 60% basi
 
Maisha ni safari yenye mabonde na milima....... hongera kwa kuamka na kuendelea na safari baada ya kuanguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…