Marafiki siku hizi unawamulika mapema ambae jau unamchana mapema tena live namwambia nimeoteshwa hatupaswi kua karibu zaidi ya salamu malaika wameona kitu mbeleni kwenye nafsi zetu.Pole mkuu kwa mkasa uliokukuta,,,story inafanana na yangu kabisa yule shetani niliishi naye miaka kumi,ikatokea yeye kuugua nikauguza miaka mitano nilipoteza nyumba biashara viwanja kwaajili ya kumuuguza mungu akasaidia akapona,,,baada ya yeye kupona, hali ya yangu kiuchumi ikawa mbaya hapo ndo nilijua sura halisi ya yule mwanamke,,aliliwa na rafiki yangu kabisa nilipogundua niliondoka na kwenda kuanza maisha upya mkoa mwingine namshkuru mungu ameniinua tena,,, popote alipo mungu atamlipa kwa ubaya alionifanyia mbwa yule.
Pole sana aiseeMimi nilitaka kufa siku moja job alifika mteja wa kumwekea protector wakati namwekea protector kwenye simu yake nikaona number ya mke wangu inampigia video call Aise karibia moyo usimame ,nikapeleleza nika ambiwa yule anamla sana mke wangu .Acha tu
Pole sana kiongozi. Wenyewe kwenye hii thread wanapita tu kama hawaoni vile. Wanaume tunapitia mengi Mungu atunusuruSafi sana mkuu binafsi nimechapiwa sana mke na madharau juu ila Mungu ni mwema nipo najitafuta upya, maana niliamua kumuachia kila kitu na ninaimani nitasimama tena
Mkuu Bundakwetu vipi mkeo hajakutafuta baada ya wewe kusepa home na kwenda kuanza maisha morogoro?Safi sana mkuu binafsi nimechapiwa sana mke na madharau juu ila Mungu ni mwema nipo najitafuta upya, maana niliamua kumuachia kila kitu na ninaimani nitasimama tena
Hana mawasiliano na mimi ila nasikia ananitafuta sana na alienda hadi Bunda kwa mama kuniulizia maana namba zangu za awali nilizivunjavunja na kuziacha juu ya meza kabla ya kuondokaMkuu Bundakwetu vipi mkeo hajakutafuta baada ya wewe kusepa home na kwenda kuanza maisha morogoro?
Kupitia magumu siyo sababu ya mwanamke wako awe Malaya, we ulibeba Malaya mzoefu tuHii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu nikachapiwa mbaya sana, madharau kama yote, upepo wa pesa ulipotea, viazi hola, mpunga hola, Vitunguu hola, nyanya hola nikapigwa mpapaso kila sehemu.
Huyo demu Kwa uchache alichapwa na mtu tatu kwa mpigo John, Philip, Fred.
Ilibidi niwe bwege nisubirie upepo ukae sawa.
Walahi yule Mbwa alinitesa usingizi nilikuwa silali halafu nilikuwa na Vimeo vya madeni ya Shamba kama Milioni 8 hivi.
Mungu acha aitwe Mungu sijui nilichomoka vipi, nikafufuka kiuchumi, basi ndio vile tena mwisho wa ubaya ni aibu.
Unasahau ukishabarikiwa maisha yanasonga.
inshallah nashukuru Mungu ananipenda.nimechanua tena.
karibu wahenga wa kuchapiwa kama mimi.
Wakati hufika kila mtu na mnyonge wake,
Note: Karma is real
Kejana alepegwa tokeo zetoEnaseketesha sane.
Dah, pole sana mkuu hii ni hatariMimi nilitaka kufa siku moja job alifika mteja wa kumwekea protector wakati namwekea protector kwenye simu yake nikaona number ya mke wangu inampigia video call Aise karibia moyo usimame ,nikapeleleza nika ambiwa yule anamla sana mke wangu .Acha tu