Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Siku nyingine hakikisha mteja anazima simu yake kabla hujampatia hudumaMimi nilitaka kufa siku moja job alifika mteja wa kumwekea protector wakati namwekea protector kwenye simu yake nikaona number ya mke wangu inampigia video call Aise karibia moyo usimame ,nikapeleleza nika ambiwa yule anamla sana mke wangu .Acha tu
Pole sana mkuuSafi sana mkuu binafsi nimechapiwa sana mke na madharau juu ila Mungu ni mwema nipo najitafuta upya, maana niliamua kumuachia kila kitu na ninaimani nitasimama tena
Pole mkuu kwa mkasa uliokukuta,,,story inafanana na yangu kabisa yule shetani niliishi naye miaka kumi,ikatokea yeye kuugua nikauguza miaka mitano nilipoteza nyumba biashara viwanja kwaajili ya kumuuguza mungu akasaidia akapona,,,baada ya yeye kupona, hali ya yangu kiuchumi ikawa mbaya hapo ndo nilijua sura halisi ya yule mwanamke,,aliliwa na rafiki yangu kabisa nilipogundua niliondoka na kwenda kuanza maisha upya mkoa mwingine namshkuru mungu ameniinua tena,,, popote alipo mungu atamlipa kwa ubaya alionifanyia mbwa yule.
Ni PRO MAX kabisaIla huyo mkeo Ni hatari Sana kudadeki π€
Ananyanduliwa na minjemba mitatu tofauti aisee huyo Ni level nyingine kbsa
IdiotHii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu nikachapiwa mbaya sana, madharau kama yote, upepo wa pesa ulipotea, viazi hola, mpunga hola, Vitunguu hola, nyanya hola nikapigwa mpapaso kila sehemu.
Huyo demu Kwa uchache alichapwa na mtu tatu kwa mpigo John, Philip, Fred.
Ilibidi niwe bwege nisubirie upepo ukae sawa.
Walahi yule Mbwa alinitesa usingizi nilikuwa silali halafu nilikuwa na Vimeo vya madeni ya Shamba kama Milioni 8 hivi.
Mungu acha aitwe Mungu sijui nilichomoka vipi, nikafufuka kiuchumi, basi ndio vile tena mwisho wa ubaya ni aibu.
Unasahau ukishabarikiwa maisha yanasonga.
inshallah nashukuru Mungu ananipenda.nimechanua tena.
karibu wahenga wa kuchapiwa kama mimi.
Wakati hufika kila mtu na mnyonge wake,
Note: Karma is real
Hahaha idiot simpPole mkuu kwa mkasa uliokukuta,,,story inafanana na yangu kabisa yule shetani niliishi naye miaka kumi,ikatokea yeye kuugua nikauguza miaka mitano nilipoteza nyumba biashara viwanja kwaajili ya kumuuguza mungu akasaidia akapona,,,baada ya yeye kupona, hali ya yangu kiuchumi ikawa mbaya hapo ndo nilijua sura halisi ya yule mwanamke,,aliliwa na rafiki yangu kabisa nilipogundua niliondoka na kwenda kuanza maisha upya mkoa mwingine namshkuru mungu ameniinua tena,,, popote alipo mungu atamlipa kwa ubaya alionifanyia mbwa yule.
Kataa ndoa oyeeeIla huyo mkeo Ni hatari Sana kudadeki π€
Ananyanduliwa na minjemba mitatu tofauti aisee huyo Ni level nyingine kbsa
HahahaMi nilichapiwa na kenge mmoja alikuwa rafiki mnafiki... Nilimtambulisha jamaa kwa shemeji yake/mchumba angu (Domina).
Utoto ulikiwa mwingi, ilikuwa tukikosana na demu anampigia jamaa. Ikafika kipindi nikayumba sana kiuchumi, kuna siku nilifuma sms kenge anachat na demu wangu anamwambia nina mademu wengi ndo mana simtumii hela. Na anampa mwongozo wa kuchat na mimi mwishowe akaanza kumtongoza dem anaingia 18 za kenge. Nilipogundua nikapiga chini demu na likenge linafiki na kuna siku nikawakuta wote sehemu wametoka kulana.
Thanks God wote saivi wameyumba sana na likenge lilikuwa limeajiriwa baadae likafukuzwa kazi, lidemu limezalishwa na wahuni wengine na sasa ni singo maza
HahahaPole sana mkuu,
Nilipigwa tukio enzi nasoma
Pocket money yangu nahonga kwake
Mi niliambiwa "huna Ela,umeisha fashion"
Si mlijifanya mna hela wakati mnaanza nao mahusiano, zikikata na wenyewe walianzishaHii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu nikachapiwa mbaya sana, madharau kama yote, upepo wa pesa ulipotea, viazi hola, mpunga hola, Vitunguu hola, nyanya hola nikapigwa mpapaso kila sehemu.
Huyo demu Kwa uchache alichapwa na mtu tatu kwa mpigo John, Philip, Fred.
Ilibidi niwe bwege nisubirie upepo ukae sawa.
Walahi yule Mbwa alinitesa usingizi nilikuwa silali halafu nilikuwa na Vimeo vya madeni ya Shamba kama Milioni 8 hivi.
Mungu acha aitwe Mungu sijui nilichomoka vipi, nikafufuka kiuchumi, basi ndio vile tena mwisho wa ubaya ni aibu.
Unasahau ukishabarikiwa maisha yanasonga.
inshallah nashukuru Mungu ananipenda.nimechanua tena.
karibu wahenga wa kuchapiwa kama mimi.
Wakati hufika kila mtu na mnyonge wake,
Note: Karma is real