Tujuane wana JF wa Mwanza

Tujuane wana JF wa Mwanza

Ooooyoooo!!! Mie niko hapa Babi Lounge namalizia weekend yangu kwa raaaahaaaa mustarehe.....

01.+BABI+LOUNGE.jpg

Karibuni wadau wa Rock City...

01.a+red+carpet2.jpg

Kwenye hiyo meza pembeni ni mimi sema nashindwa kujipiga picha mwenyewe afu huyu mhudumu naye Kilaza square hawezi kutumia IPAD yangu... Lols!!!

Nilikuja na sijakukuta
Umeanza lini uongo weye?

Nitamuambia amu akugae
Akija utaisoma namba tu ....lolllll!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kijana wewe si unakaa Igogo kule mlimani ambako mvua ikinyesha mnatapisha vyoo?

unasemea huku? aah wapi!
milima+ya+mwanza.jpg

hapa pana wenyewe kulaleki! mitaa hii ikishafika saa 12 jioni- wadau wanaingia kazini!

sasa ngoja nikutembeze kidogo! unaijua saa nane wewe?

ukitokea igogo unaionea wapi?

hebu icheki hapa, sio unajificha kishiri tu unadhani mjaaanja kulaleki!
01e2914ba25eec5dcca1c9adc2718a30.jpg

ngoja nikupeleke kwetu kirumba yenyewe!!

kwanza, nakuonesha mwalo wetu wa samaki, dagaa na vitu vingine vinavyopita kwenye maji kutoka ukerewe uganda na kenya!

mwaloni hapaaa, kirumba moja!

sokoni+Mwaloni+Kirumba+jijini++Mwanza.jpg

hii ndio mitaa yetu ya kitangiri.. very interesting!

DSC05712.JPG
 
Nilikuja na sijakukuta
Umeanza lini uongo weye?

Nitamuambia amu akugae
Akija utaisoma namba tu ....lolllll!!!!!!!!!!!!!

Damn!!afu siku zinavyokimbia balaa mweee Eiyer mgeni wako mie
 
Last edited by a moderator:
unasemea huku? aah wapi!
milima+ya+mwanza.jpg

hapa pana wenyewe kulaleki! mitaa hii ikishafika saa 12 jioni- wadau wanaingia kazini!

sasa ngoja nikutembeze kidogo! unaijua saa nane wewe?

ukitokea igogo unaionea wapi?
Yaani unapakataa kwenu hivi hivi?

hebu icheki hapa, sio unajificha kishiri tu unadhani mjaaanja kulaleki!
01e2914ba25eec5dcca1c9adc2718a30.jpg
Hapo utaishia kupaona kwenye picha tu
Nyie watoto wa Igogo tunawajua

ngoja nikupeleke kwetu kirumba yenyewe!!

kwanza, nakuonesha mwalo wetu wa samaki, dagaa na vitu vingine vinavyopita kwenye maji kutoka ukerewe uganda na kenya!

mwaloni hapaaa, kirumba moja!

sokoni+Mwaloni+Kirumba+jijini++Mwanza.jpg

Ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Huku ulikwenda kwenye biashara yako ya dagaa tu wala huishi huko

hii ndio mitaa yetu ya kitangiri.. very interesting!

DSC05712.JPG
Hiyo picha haioneshi Kitangili mbona?
Mpiga picha anaweza kuwa alikuwa huko lakini eneo linaloonekana kwenye picha sio kitangili

Si unaiona na Bugando?
Au na yenyewe ipo Kitangili?
 
tx pale pale stendi za gari ama unasonga mbele zaidi?

kuna muhindi mmoja ana kijumba chake ndani mle, unamjua?

Wejamaa nipo hapa uwanjani we Upowapi? Ni pm tuonane mwanangu.
 
Hiyo picha kapigia kona ya Bwiru kaka,me nakamua hbi hapa.
 
Daraja jipya la fonia au mabatini ndio nalishangaa hapa.
 
Attachments

  • 1395751470471.jpg
    1395751470471.jpg
    52.2 KB · Views: 219
duh! hili ndo daraja la mabatini aisee???

nakumbuka wakati linaanza kujengwa, nilishachomwa na cheche aisee sitosahau!

mida flani hivi natoka kwenye mishe usiku nikakuta mafuta ndo wako kazini, aisee cheche ziliniangukia mgongoni, duh!

attachment.php
 
Nilikuja na sijakukuta
Umeanza lini uongo weye?

Nitamuambia amu akugae
Akija utaisoma namba tu ....lolllll!!!!!!!!!!!!!

Wewe ulikuja kwa bodaboda bana, nilikuona wsana wakati unaingia na mie nikawa natoka. Au unabisaha niweke picha???
 
Back
Top Bottom