Ooooyoooo!!! Mie niko hapa Babi Lounge namalizia weekend yangu kwa raaaahaaaa mustarehe.....
Karibuni wadau wa Rock City...
Kwenye hiyo meza pembeni ni mimi sema nashindwa kujipiga picha mwenyewe afu huyu mhudumu naye Kilaza square hawezi kutumia IPAD yangu... Lols!!!
Kijana wewe si unakaa Igogo kule mlimani ambako mvua ikinyesha mnatapisha vyoo?
Yaani unapakataa kwenu hivi hivi?unasemea huku? aah wapi!
hapa pana wenyewe kulaleki! mitaa hii ikishafika saa 12 jioni- wadau wanaingia kazini!
sasa ngoja nikutembeze kidogo! unaijua saa nane wewe?
ukitokea igogo unaionea wapi?
Hapo utaishia kupaona kwenye picha tuhebu icheki hapa, sio unajificha kishiri tu unadhani mjaaanja kulaleki!
ngoja nikupeleke kwetu kirumba yenyewe!!
kwanza, nakuonesha mwalo wetu wa samaki, dagaa na vitu vingine vinavyopita kwenye maji kutoka ukerewe uganda na kenya!
mwaloni hapaaa, kirumba moja!
Hiyo picha haioneshi Kitangili mbona?hii ndio mitaa yetu ya kitangiri.. very interesting!
tx pale pale stendi za gari ama unasonga mbele zaidi?
kuna muhindi mmoja ana kijumba chake ndani mle, unamjua?
Karibu sana
Hapa ndio utakapofikia aiseee
Siji na hutoniona ng'ooo kisa cha kung'atwa na mbungo ni nini???
Nipo dear.......ndio nimehamia juzi juzi......nitawatafuta........
Preta naomba uje kwangu mitaa ya bwiru
Nitakuja mwaya.........nipe namba ya nyumba..........
JF kiboko! watu tutajuana tu! karibuni Igogo
Nilikuja na sijakukuta
Umeanza lini uongo weye?
Nitamuambia amu akugae
Akija utaisoma namba tu ....lolllll!!!!!!!!!!!!!