sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Kumbe ulikuwa hupoNimepamiss mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ulikuwa hupoNimepamiss mwanza
Ndio braza. Nipo Magu.Aisee...kumbe upo hapo Magu?
nilikuwepo Mwanza kwa miaka mitatu mkuuNdio braza. Nipo Magu.
yap mkuu ila kwa sasa nshahamaKumbe ulikuwa hupo
Nkija nitapita kukusalimiaNdio braza. Nipo Magu.
nilikuwepo Mwanza kwa miaka mitatu mkuu
Okey......yap mkuu ila kwa sasa nshahama
mwanza raha bhanaNkija nitapita kukusalimia
Okey......
I miss Mwanza.....dah
Haina noma kaka. Mie nipo mwingi sana, karibu Magu karibu Mwanza.Nkija nitapita kukusalimia
Ulikuwa maeneo yapi hapa Mwanza?nilikuwepo Mwanza kwa miaka mitatu mkuu
nyegeziUlikuwa maeneo yapi hapa Mwanza?
Kumbe ulikuwa pale. Basi sawa kaka.nyegezi
pamoja mkuuKumbe ulikuwa pale. Basi sawa kaka.
Nitakuja brou.....dah nimekaa saana pale buhongwa....Haina noma kaka. Mie nipo mwingi sana, karibu Magu karibu Mwanza.
nyegezi
Watu wanaogopana, hv itakuwaje utakutana na mtu ghafla unakuta unavarishwa bangiliPreta, mbona niko isamilo sijawahi kukuona mum!
Mleta mada, tulishaitana sana wana mwanza tukutane lakini watu hamtokei, tulishakutana kama mara mbili pale rock beach (mgahawa wa wachina) lakini watu hamjitokezi, tunaokutana ni watu wale wale wawili watatu
isamilo ipi sasa??Isamilo.......