Tujuane wana JF wa Mwanza

Tujuane wana JF wa Mwanza

Preta, mbona niko isamilo sijawahi kukuona mum!
Mleta mada, tulishaitana sana wana mwanza tukutane lakini watu hamtokei, tulishakutana kama mara mbili pale rock beach (mgahawa wa wachina) lakini watu hamjitokezi, tunaokutana ni watu wale wale wawili watatu
Watu wanaogopana, hv itakuwaje utakutana na mtu ghafla unakuta unavarishwa bangili
 
Back
Top Bottom