Tujuane wana JF wa Mwanza

Tujuane wana JF wa Mwanza

Ahsanteni wana Mwanza kwa upendo na ushirikiano mlionionyesha kipindi chote nilichoishi Mwanza...Its sad to say goodbye Mwanza...Ntaimiss sana Rock City na viunga vyake...Kwaheri Mwanza Kwaheri Samaki.
 
Ahsanteni wana Mwanza kwa
upendo na ushirikiano mlionionyesha kipindi chote nilichoishi
Mwanza...Its sad to say goodbye Mwanza...Ntaimiss sana Rock City na
viunga vyake...Kwaheri Mwanza Kwaheri Samaki.

karibu tena ndugu....
 
Ili iweje?lengo lako nini?
Unafanya utafti gani?
Unatarajia nni?!
 
Mkolani ndo home ila kwa sasa bado niko Entebbe Uganda
 
Mwanza namjua charminglady peke yake, kumbe wapo wengi asee...
ukitoka church nitafute we mwanamke
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom