Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Mwache alete posa kwanza...! mangine tutayatazama!!Dini yangu hairuhusuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache alete posa kwanza...! mangine tutayatazama!!Dini yangu hairuhusuu
Habari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii
On sunday wl be in Mwanza jaman!cnt wait to see ze sato's city!hahah
Vizano kuna mademu bomba sana!
mi niko kona ya bwiru bar ya kiti moto
mie nyamanoro mseke
Kiloleli
Tutafutane jamani me nakaa Kilimahewa,plz ni pm tupeane ma contact
Vizano kuna mademu bomba sana!
mi niko kona ya bwiru bar ya kiti moto
Tutaftane aisee mi pia nipo Bugando
ebwana mie nipo pande za kilimahewa sokoni kwa msuka,mwanza,karibu sana,
Lini tunakutana wana mwanza?