Tujuane wana JF wa Mwanza

Tujuane wana JF wa Mwanza

Haaa Haaa mbona hata mi nakaa hapa kwa Mama Masai kwa chini
Duh! Nikirudi week end ijayo ntaku pm tuonane bana,nimerudi job nje ya jiji,nina masaa mawili tu nimetoka town to Nzega
 
Nimesoma mitaa ya mwanza nimekumbuka mengi sanaaaaaa

Ahsanten sana watu wa mwanza niliishi huko nikainjioy sanaaaa
 
i miss mwanza...
moja kati ya sehemu bora kabisa kuishi.

buhongwa moja...
 
Back
Top Bottom