Tujuane wenye nyumba 2022

Saad30

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
2,737
Reaction score
5,464
Habari nyingi sana hamjambo wakuu?

Mimi bana mipango yangu nataka nianze ujenzi mwakani nina shakuhuku sana ya kukaa kwenye miliki yangu ndio furaha yangu ya badae...

Nikimaliza kulipa ADA za watoto tu basi kinachofata ni makazi yangu ya kupita hapa Duniani.Jamani wenye nyumba wanaraha sana ila wengine hawana maana kuna ndugu wengi wanakaa utafikiri mtu kajengea ndugu kumbe kajengea familia yake..

Sasa wale wenye mipango kama yangu tuseme tunaweza jampo kuwa Vifaa nya ujenzi pasua kichwa sasa hivi bei GHALI sana.
 
Hakuna linaloshindikana ukiamua. Misheni kama yangu aisee ila mwenzako nimeanza japo kduchu...
 
InshaALLAH, mpk mwaka 2022 unaisha nitakuwa kwangu.. nimeshajenga msingi tyr wa vyumba 3, sebule dining , jiko, stoo etc

Ee mwenyezi Mungu nisaidiee
Hebu tupia kapicha ya nyumba yako nasi tupate nguvu ya kupambana kama wewe ulivyopambana
 
InshaALLAH, mpk mwaka 2022 unaisha nitakuwa kwangu.. nimeshajenga msingi tyr wa vyumba 3, sebule dining , jiko, stoo etc

Ee mwenyezi Mungu nisaidiee
Mungu atasimama mkuu,niwatie moyo wote wenye malengo hayo kwamba inawezekana kuishi kwenye nyumba yako muhimu mtangulize Mungu mbele na heshimu pesa yako utafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…