Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
Habari nyingi sana hamjambo wakuu?
Mimi bana mipango yangu nataka nianze ujenzi mwakani nina shakuhuku sana ya kukaa kwenye miliki yangu ndio furaha yangu ya badae...
Nikimaliza kulipa ADA za watoto tu basi kinachofata ni makazi yangu ya kupita hapa Duniani.Jamani wenye nyumba wanaraha sana ila wengine hawana maana kuna ndugu wengi wanakaa utafikiri mtu kajengea ndugu kumbe kajengea familia yake..
Sasa wale wenye mipango kama yangu tuseme tunaweza jampo kuwa Vifaa nya ujenzi pasua kichwa sasa hivi bei GHALI sana.