umusuntiwawe
Member
- Jul 9, 2020
- 52
- 125
zipi! Hizo mia tano kati ya efu 92. Nyie muwakejeli tu vijana matokeo mtayapata october! Jk aliweza kuajili wote hakuna aliyekuwa anabaki labda ukatae ajira mwenyeweNa zinazotangazwa kila leo ni nini? Serikali yoyote duniani haina uwezo wa kuajiri kili mhitimu, hata Tanzania haiwezi lakini kiwango cha kuajiri tulichonacho ni kizuri
Huu Ushauri Kawapeni Kina Omari Kigoda, Goodluck Mlinga, Ridhiwan Kikwete, Hussein Mwinyi, Godfrey Mgimwa na Kina Halima Bulembo.Tuangalie namna ya kufanya uzalishaji mali na huduma independently, tusitegemee sana ajira
tunataka tujue tu kama ajira zimeshafutwa awamu hii ya jamaa au lah!Tuangalie namna ya kufanya uzalishaji mali na huduma independently, tusitegemee sana ajira
zipi! Hizo mia tano kati ya efu 92. Nyie muwakejeli tu vijana matokeo mtayapata october! Jk aliweza kuajili wote hakuna aliyekuwa anabaki labda ukatae ajira mwenyewe
Wabongo mnachekesha sana.Kwa jk tulikwaa ajira mbili mbili unachagua mwenyewe uende wapi.
Kilimo=Umaskiniumusuntiwawe,
Nakumbuka shairi moja nililisoma nikiwa shule ya msingi linasema “Kama mnataka mali mtayapata shambani.” Nenda kavamie mapori upande mbegu mbalimbali utapata mazao kisha uuze upate ujira.
Wewe kada wa ufipa unatumia nguvu nyingi kuomba kura na ukute hata kusoma hujasoma.Unafikir kila mtu anawazaga ajira za serikali tu.tunataka tujue tu kama ajira zimeshafutwa awamu hii ya jamaa au lah!
Inshort kwa sasa zimefutwa,yuko bize na miradi mikubwa ya Stigler's,SGR,madaraja ambayo yanahitaji vibarua tu kwa sana.tunataka tujue tu kama ajira zimeshafutwa awamu hii ya jamaa au lah!
Hayo ni maneno wanayoambiwa watoto wa wanyonge tu,watoto wa wakuu wanamaliza vyuo kama kawa na kazi za vimemo wanapata kama kawa.Ajira za nin maisha mbona yanasonga kwan? Kunasehemu tulikubaliana na serikali kwamba baada ya kusoma itakuajiri.
Nimemsikiliza jamaa mmoja leo asubuhi kwmy Tv akiisifia awamu ya 5 anakwambia Magu tangu ameingia madarakani ameajiri madaktari 300(mia tatu tu),hahah nikasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiNa zinazotangazwa kila leo ni nini? Serikali yoyote duniani haina uwezo wa kuajiri kili mhitimu, hata Tanzania haiwezi lakini kiwango cha kuajiri tulichonacho ni kizuri.
Kilimo ni adhabu, ukikosea ukiwa shule ya boarding unapewa kipande cha kulimaKilimo=Umaskini
Na hapo hapo unaambiwa 80% ya wananchi ni wakulima na wafugaji na ambao ni maskini sana.Kilimo ni adhabu, ukikosea ukiwa shule ya boarding unapewa kipande cha kulima