Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,942
hatari.pharmacy je?Wako wana-bet tu kwa sana na kunywa diamond/kitoko.
hatari.pharmacy je?Wako wana-bet tu kwa sana na kunywa diamond/kitoko.
Kila mtu angejiajir unafkir inakuwaje? Watu wengne bhana hujui kuwa tunategemeana ili equation ibalance.Tuangalie namna ya kufanya uzalishaji mali na huduma independently, tusitegemee sana ajira
Kila mtu angejiajir unafkir inakuwaje? Watu wengne bhana hujui kuwa tunategemeana ili equation ibalance.
Ajira ni muhim kuajiriwa au kujiajir serikali inatakiwa itoe fursa pande zote mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanakuja kusema serikali ya wanyonge eti inawajali maskini hahah.Kuna mambo yanatia hasira... Unakuta anayetema mapambio ya kuajiajiri naye kaajiriwa.
Kiukweli vijana wengi matumaini yanapotea kila siku.... wamesoma.... ajira hakuna.... mitaji hakuna na bado wanakutana na wapuuzi kila siku wanaomwaga sifa za kijinga kwa watawala ( wende ni kwa sababu wana masilahi yao)
Serikali inakataa kuajiri maksudi tu si kwamba ni kweli hakuna uhaba makazini.
Walimu ndo kabisa wachache mashuleni.... Hospitali hizo 67 walizojenga ni majengo tu hazina watu wanalazimisha tu ili zionekane zinaotoa huduma[emoji22][emoji22]
Vituo vya afya 350++ ni majengo tu ndo yameongezeka.... wataalamu hakuna.
Then wanakuja mafala fulani ambao hawaelewi..... wanaendelea kuendeshwa na mahaba.
Ajira zinazotoka (japo ni kidogo sana) kuna ambazo ni transfer vacancies kwa ambao tiyari ni watumishi wa umma (hii haina faida kwa kijana ambaye ndo amemaliza shule) pia zingine zinatoka kwa connections (mfano ajira za Mkapa za juzi juzi[emoji23][emoji23] watu walijikuta wanaona orodha ya watu wanatakiwa kuripoti kazini)
Haya mambo haya.... [emoji22]
Kwenye keyboard ni rahisi kweli unaweza hata kupanda hekari elfu moja kwa kutumia keyboardumusuntiwawe,
Nakumbuka shairi moja nililisoma nikiwa shule ya msingi linasema “Kama mnataka mali mtayapata shambani.” Nenda kavamie mapori upande mbegu mbalimbali utapata mazao kisha uuze upate ujira.
mfano wangu hauhusu kumiliki viwanda...mfano unahusu kuishi bila kutegemea ajira..Kwa hio wewe unamiliki viwanda vingapi mpk sasa?
Kwa hio wewe kwa sasa una viwandaKuajiriwa ni kujitia kitanzi cha kuwa na uchumi usiosogea kabisaaaa, labda kama umeanza tabia ya udokozi kwenye taasis ulioajiriwa hapo utatoboa lakini bila kuiba hutoboi, utakachokua unafanya ni kuamisha mikopo hadi unazeeka....Ni mawazo yangu lakini
Kumbe na wewe unaishi kwa kubangaiza?pole sana.mfano wangu hauhusu kumiliki viwanda...mfano unahusu kuishi bila kutegemea ajira..
Kutoboa ni nini? unatoboa shuka ama mpira wa ndani....kwa huo mtazamo wako wa kutoboa basi jua utapata tabu sana.... maisha sio mpira wa baiskeli.....badilisha mindset yako mbovu uliyokaririsha tangu una miaka saba na kila kitu kitabadilika...nyie ndio wanafiki wakubwa eti ajira ni kifungo cha umasikini, mbona kuna watu wanamaisha mazuri wapo kwenye ajira, hivi unazijua changamoto wanazopitia vijana walioamua kujiajiri? Kila mtu angependa kujiajiri lakini katika nchi hii bado hakuna mazingira mazuri ambayo yanaweza kuwawezesha vijana kujiajiri na kua na kiasi kiasi kikubwa cha kutoboa haswa kwa wanaoanza kwa mitaji midogo
kwa huo mtazamo wako uko sahihi kijana.....in your opinion, you're right....Kwa hio wewe kwa sasa una viwanda
Kumbe na wewe unaishi kwa kubangaiza?pole sana.
Hell yeah.kwa huo mtazamo wako uko sahihi kijana.....in your opinion, you're right....
Wewe jamaa inaonekana sio tatizo lako ila tatizo lipo kwenye akili yako, nyie ndio mnaojifanya mamotivation speaker kazi kuwalisha watu matango poli.Kutoboa ni nini? unatoboa shuka ama mpira wa ndani....kwa huo mtazamo wako wa kutoboa basi jua utapata tabu sana.... maisha sio mpira wa baiskeli.....badilisha mindset yako mbovu uliyokaririsha tangu una miaka saba na kila kitu kitabadilika...
au baki hapohapo uisubirie ajira...sijui huko shule mlienda kufuata ajira.....
kuna ndugu kwetu anatakiwa kwenda chuo inabidi tuchange mahitaji.Mwanangu nitafanya juu chin apate elimu ya kidato cha nne..ajue kidogo hesab za kujumlisha na kutoa..pia apate kozi ya saikolojia na ajue lugha ya kiingereza na kichina vzur kwisha...uwekezaj wangu wote sasa ni kwa ajili yake...stak aingie kwenye mtego wa elimu za africa zisizo na tija kivile
😆😆😆😆😆Twende Sawa Sawa Na Ccm 2020,Ajira Zipo Awamu Ijayo Kila Mmoja Atapata Tu!!!!
Kosea Kuoa Ila Siyo Kuchagua !!
Ukikosea Kuchagua Mpaka Miaka 5 Haa😀😁😅😄😃😃
Mke Ukikosea Mnaachana Saa Hiyo Hiyo
Kabisa..mtu asome kwa tabu halaf amalize aanze lamba watu miguu et wampe ajira.ni ujuha wa kiwango..mistake niliyofanya mm stak mwanangu apate..kwanza in 3yrs naacha kaz maaana biashara zangu zinaniingizia mara mbili nachopata kwenye mshahara tena kwa wik mbili..nipo kazin kiushabik tuu na mazoeakuna ndugu kwetu anatakiwa kwenda chuo inabidi tuchange mahitaji.
nimewaambia mimi sichangi mahitaji ya chuo .
ila kama ni mtaji hata nusu ya wakwangu nitampa.
hatuna mda wakucheza pata potea!