Yaani kaka, hizo intern mimi binafsi nimetafuta hadi nimechoka cha ajabu wengine baadhi wanapata kirahisi(wenye conection na vigogo)Aaaarh hamna kitu kama hicho mkuu ni mwendo wa vimemo tu, wanazuga wanapiga intern miezi michache tu hapo ofisini then utasikia kuna internal recruitment ndio wamechukuliwa hivyo mzee baba.
Watoto wa maskini wao ndio wakajiajiri kwa vitambulisho vya umachinga mzee baba.
Sasa nataka nianze kuuza mitumba tu hii ndiyo biashara niliyoiona ninaweza kuifanya kwa mtaji mdogo na nikapata faida ajira hizo zishakuwa ngumu