Tujue moja: Nchi hii ajira kwa graduates zimeshafutwa!

Yatupasa wasomi tujiongeze, Mfumo etu wa Elimu haulingani na Matakwa ya wkati
Tukitegemea serikali za kiafrika kutupatia ajira kwa elimu za Chuo kikuu basi tutangoja sana,
Hali inafanana , si TZ tuu bali kila mahali Afrika na duniani kwa jumla,watu wameaminishwa kuwa wakisoma na kuwa na Degree watapata ajira.
Hebu msikilizeni huyu MB, Kishimba.
 

Attachments

  • Elimu_ya_Tz_ni_kifungo_cha_maisha,_wengi_mnaogopa_kusema-Kishimba_(CCM).mp4
    26.9 MB
Kuna kima watabisha hili yani hali ni mbaya mno
Ajira hakuna
Mishahara haipandi
Walimu wa science ( physics) hakuna
Primary level ndo usiseme hali ni mbaya sana hasa vijijini
 
Hii hapa
 

Attachments

  • Nchi Masikini Haziwezi kulipa madeni yao kamwe.mp4
    6.4 MB
  • Elimu_ya_Tz_ni_kifungo_cha_maisha,_wengi_mnaogopa_kusema-Kishimba_(CCM).mp4
    26.9 MB
Na zinazotangazwa kila leo ni nini? Serikali yoyote duniani haina uwezo wa kuajiri kili mhitimu, hata Tanzania haiwezi lakini kiwango cha kuajiri tulichonacho ni kizuri.
Kiwango cha kuajiri serikali hii kimeshuka maradufu ukilinganisha na kipindi cha kikwete, kiwango cha kupanda madaraja watumishi kimeshuka maradufu.
 
umusuntiwawe,

Nakumbuka shairi moja nililisoma nikiwa shule ya msingi linasema “Kama mnataka mali mtayapata shambani.” Nenda kavamie mapori upande mbegu mbalimbali utapata mazao kisha uuze upate ujira.
ushawahi kulima hata tuta la mchicha wewe ? unajua kilimo cha nchi hii wewe?
 
Hivi naomba kuuliza swali hivi watoto wa Viongozi (mawaziri,manaibu waziri,makatibu wakuu,manaibu makatibu wakuu wa wizara,wakurugenzi wote,wakuu wa mikoa,RAS,DAS,DED,DC etc) nao wanahangaika kuhusu ajira?
 
Hivi naomba kuuliza swali hivi watoto wa Viongozi (mawaziri,manaibu waziri,makatibu wakuu,manaibu makatibu wakuu wa wizara,wakurugenzi wote,wakuu wa mikoa,RAS,DAS,DED,DC etc) nao wanahangaika kuhusu ajira?
Aaaarh hamna kitu kama hicho mkuu ni mwendo wa vimemo tu, wanazuga wanapiga intern miezi michache tu hapo ofisini then utasikia kuna internal recruitment ndio wamechukuliwa hivyo mzee baba.

Watoto wa maskini wao ndio wakajiajiri kwa vitambulisho vya umachinga mzee baba.
 
Ajira ni utumwa sana jaribu kupambana utafurahia maisha ya kujiajir.
Sauti ya kinafiki katika ubora wake.
Ajira ni haki ya kijana ingawa haijaainishwa kwenye katiba.
Umeona baadhi ya watu walivyopigwa pin automatically ile miezi 3 iliyopita.
Hao waliojiajiri wengi walinyoosha mikono.
Mimi binafsi ninashughuli zangu za kujiingizia Pesa,per day napata kama 20k nje ya mshahara ila ajira ndiyo inayonipa ujasiri na uhakika wa kesho yangu.
Na hata hivyo mtaji nimeupata kwenye ajira.
Pumbavu kabisa, unamwambia mtu ajiajiri huku hujampa mtaji.
Unataka ajiajiri kwa laki moja ili aendelee kuwa mtumwa !!!
 
Pengne hata nafas za ajira zikija zitakua chache sana kuliko idadi ya wahitaji,,,,
Ongezo la mshahara ni haki ya mfanyakazi lakn hata wafanyakaz hawaon umuhim wa kudai haki zao labda pengne kuna vitisho vinaendelea,,, wanaogopa kudai haki inayoweza kuwasababishia kukosa hata hiyo ajira inayo wapa chochote
 
Wote? Nssf,tpdc,ewura,tanapa,cmsa hawapo watoto wa wakubwa?
Kokote kwny ofisi zenye Posho nene wao ndio wanapewa kipaumbele from BOT to hizo ulizozitaja na nyingine tusizozijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…