Tujue moja: Nchi hii ajira kwa graduates zimeshafutwa!

Pole mkuu Mimi nimemaliza 2011 lakini imefika mahali imebidi nifanye yangu. Hii nchi ina wenyewe, sisi wakuja tujipange hii October tuwapumzishe na wao waone msoto wa kukaa mtaani.. Watz sijui tukoje, hatujitambui wala hatujielewi kama mazuzu. Tuwachomoe hawa jamaa, wamejisahau sana. HAWAUJUI MSOTO WA MTAANI.
 
Tatizo wameshikilia Tume "huru" ya uchaguzi.
 
Naunga mkona hoja , miaka mitano iliyopita mtu alikuja akapiga hati push up , akiomba tumpe kazi kwa ahadi aingia madarakani na yeye atatupatia kazi , baada ya kupata kazi , yeye ndiyo kawa mstari wa mbele kutunjima kazii , muda umeishaaa anarudi " ooohh !! mkinipa tena kazi ndyo ntawapatieni zile kazi nilizowaahidi " aisee tusipokuwa makini hawa wazee watatuumiza vijana
 
Subiri matusi kutoka kwa ccm wanakuja
 
Hamjui tu ni jinsi gani magu anachukia watumishi. Yani sijui ni nini walimfanya. Akisikia neno watumishi siku yake nzima yaharibika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…