popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Reli tunajenga kwa pesa yetuMama wew unayeamini matango pori kama hana uhakika kwann aseme
Haikuwa tango pori,
Utumwa raha kwa mtumwa asiye huru kichwani,
Lkn kwa mtumwa aliyehuru kichwani ni afha na fesheha,
Wenye akili washajua nnachomaanisha