Tujukumbushe uongo mbalimbali aliowahi kusema Mange Kimambi

Tujukumbushe uongo mbalimbali aliowahi kusema Mange Kimambi

Mama wew unayeamini matango pori kama hana uhakika kwann aseme
Reli tunajenga kwa pesa yetu
Haikuwa tango pori,
Utumwa raha kwa mtumwa asiye huru kichwani,
Lkn kwa mtumwa aliyehuru kichwani ni afha na fesheha,
Wenye akili washajua nnachomaanisha
 
Da Mange huku kwetu mvua haijanyesha wiki ya pili sasa, hii serikali sijui inatupeleka wapi

Hd my I'd please [emoji3][emoji38] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji2] [emoji2]
 
Mangi ni zao la democrasia nchini kuminywa, ngoja achooshe watu
 
da mange huku kwetu Leo maharage yameungua, sijui serikali inatupeleka wapi! hide my id
 
Wema atahamia ccm soon sijui kama ilitokea hii

Wallah ii
Nishaweka kambi nampenda Mange kimambi [emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]mwaaaa
Unapoishia ndo nanzia. Nampenda sana. Cku hizi nkishasoma page yake bc
 
Huyo Mange Kimambi ndio nani!?
Je, yupo humu jf??
 
Mange kimambi sio mwanaharakati .. ila yeye mwanachuki... anafanya vitu kwa kuchukia kitu fulani au kumchukia mtu fulani... hatuwezi kumuheshima kama mwanaharakati...
 
Amewazidi wengi akili ana akili kuzidi mawaziri na viongozi wengi kwa hyo chuki juu yake haiwezi kukosekana. Halafu kwani ni yy wa kwanza kusema uongo?? Mtoa mada hujawahi kusema uongo hata siku moja? Ni mangapi ya ukweli anasema na mengine kufanyiwa kazi?? Hebu acheni chuki. By the way labda kuna source ambazo hutoa taarifa kwake za uongo ndo maana siku hizi anasema mpk ajiridhishe ndo apost kitu. Yani mwanaume akizidiwa akili na
 
1. Mume wa Zari, Ivan hajafa yupo hai amejificha sababu anadaiwa

2. Nyumba ya South Africa sio ya Diamond

3. Zari ana mtoto mkubwa ambaye anadanganya ni mdogo wake

4. Lowassa ana ugonjwa wa kujiharishia na kupoteza kumbukumbu

5. Nillan sio mtoto wa diamond

Tena siku hizi ameanzisha mchezo anajifanya mdau namba 1 mara 2 kumbe ni yeye anajitungia kama zamani alivyokuwa anaandika msg toka akaunt yake moja kwenda nyingine anascreenshot huku akijifanya kaandikiwa na wadau kumbe ni yeye mwenyew huku akijifanya ku hide id

Na nyie ongezeeni uongo wa huyu bi mdada
ongezea na ule wa "mwaka 2015 bei ya kilo ya sukari ilikuwa elfu 5 sasa imeshuka".
huu nao ulikuwa uongo wa Mange, au vipi?
 
1. Mume wa Zari, Ivan hajafa yupo hai amejificha sababu anadaiwa

2. Nyumba ya South Africa sio ya Diamond

3. Zari ana mtoto mkubwa ambaye anadanganya ni mdogo wake

4. Lowassa ana ugonjwa wa kujiharishia na kupoteza kumbukumbu

5. Nillan sio mtoto wa diamond

Tena siku hizi ameanzisha mchezo anajifanya mdau namba 1 mara 2 kumbe ni yeye anajitungia kama zamani alivyokuwa anaandika msg toka akaunt yake moja kwenda nyingine anascreenshot huku akijifanya kaandikiwa na wadau kumbe ni yeye mwenyew huku akijifanya ku hide id

Na nyie ongezeeni uongo wa huyu bi mdada
Mpk umemwanzishia thread... itakuwa unamfuatilia sana dada wa watu. Kumbe na wewe ni walewale
 
Mange ndio mshauri mkuu wa chadema kwa sasa kazi aliokuwa akiifanya Kitila Mkumbo
 
Da Mange huku kwetu mvua haijanyesha wiki ya pili sasa, hii serikali sijui inatupeleka wapi

Hd my I'd please [emoji3][emoji38] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hahaaaa
 
Tujikumbushe uongo aliowahi kuusema mzee wa familia a.k.a JP.
- Niliingia madarakani sukari ikiuzwa tshs 5,000/=
- Tunajenga reli kwa hela ya ndani bila kutegemea mkopo
- Naomba vyombo vya dola vihakikishe vinawakamata wote waliohusika kumshambulia TL
- Huwezi kuharibu hapa nikakuhamisha kukupeleka pengine, nakufukuza moja kwa moja

Ongezeni na mengine baadae tulinganishe kati yake na Mange ni yupi yupo kwenye vyanzo vizuri vya habari
mchatle kazidi kwa matango pori mkuu
 
Da Mange huku kwetu mvua haijanyesha wiki ya pili sasa, hii serikali sijui inatupeleka wapi

Hd my I'd please [emoji3][emoji38] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kwa kwel we ni GT
 
Back
Top Bottom