Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Naombeni mnisaidie utofauti Kati ya Perfume na Body spray
Kuuliza siyo ujinga kuuliza ni kujifunza
parfume hutumika kupulizwa kwenye nguo wakati body spray hutumika kupakwa kwenye ngozi so kuna baadhi ya pafryum ukipaka kwenye ngoz jiandae kiwashwa
 

[emoji23][emoji23]
 
Dove unapata kwa 4000 zipo za aina tofauti.
Lotions Nilinunua ya 22 unyama sana..

Uyo Madam Hornet ni Mwaisa kinoma ova Pharmacist.. Anazijua sana
Hawa Dove inafaa nijaribu ila ishu sabuni yoyote ya kipande nikioga nawashwa ni balaa so huwa natumia shower gel tuu. Shower gel inasimama ngapi chief?
 
Marquis Perfume-30k
Marquis spray-5k

Ya kiume ina rangi ya bluu
Ya kike rangi ya damu ya mzee


Inanukia vizuri wachuchu wengi waliokuja karibu nami walidai kuipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…