Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Naombeni mnisaidie utofauti Kati ya Perfume na Body spray
Kuuliza siyo ujinga kuuliza ni kujifunza
parfume hutumika kupulizwa kwenye nguo wakati body spray hutumika kupakwa kwenye ngozi so kuna baadhi ya pafryum ukipaka kwenye ngoz jiandae kiwashwa
 
Bro perfume kwa 600k dah bado sana. Kuna kipindi napendeza Nilinunua perfume elfu 30 aisee siku nipo misele madogo wakapuliz yote nililia sana ile siku mshua akauliza unalia kisa perfume kwan umenunua bei gan ikabidi niseme elfu 3 maana home ukisema umenunua perfume 30 dah hela ya kula family mwezi mzima mshua alinitoa buku 2 akasema nikaongezee buku ninunue.. ila one day tutanukia izo za madolali mzee ngoja akarakati ziendelee

[emoji23][emoji23]
 
Dove unapata kwa 4000 zipo za aina tofauti.
Lotions Nilinunua ya 22 unyama sana..

Uyo Madam Hornet ni Mwaisa kinoma ova Pharmacist.. Anazijua sana
Hawa Dove inafaa nijaribu ila ishu sabuni yoyote ya kipande nikioga nawashwa ni balaa so huwa natumia shower gel tuu. Shower gel inasimama ngapi chief?
 
Marquis Perfume-30k
Marquis spray-5k

Ya kiume ina rangi ya bluu
Ya kike rangi ya damu ya mzee


Inanukia vizuri wachuchu wengi waliokuja karibu nami walidai kuipenda
 
Back
Top Bottom