Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Wap inapatikana boss

Uko wapi wewe?
Kwa mwanza hua ninanunua pale mkabala na stand ya posta kuna duka la cosmetics

Ila madukani mengi ya Cosmetics yanazo japokua perfume sehemu nyingi hawauzi wanauza spray tu
 
20221203_104021.jpg


summer cocktail...

ADG Profumo EDP
DG - The One EDP
Zara Vibrant Leather EDP
Montblanc Legend EDP
Montblanc Explorer...hii ni deo stick
CK Euphoria Men EDT

ooh shit nilisahau na hii makitu...

Adidas TF hii ni roll on
20221203_104918.jpg
 
Binafs Mambo ya perfume huwa sijui harufu nzur na mbaya naona zote harufu ikimrad si harufu ya mkojo wa punda!
Hivyo nathaminisha kwa bei. Perfume ikipungua laki naamin hamna kitu!
Sema miaka nenda rud jinsia ya kike huwa nawazadia tu chastity for women (chupa ya glass imepinda). Napenda mnuko wake daima.
 
Zote unatumia hizi mkuu

Naam, na kuna nyingine mbili sijaweka...

Kila moja na wakati wake hapo...

ADG na DG - Huitumia nikienda kwa mkoloni
Zara - Mitoko ya sherehe au any public places maana ina scent moja inayosambaa haraka kama Creed hivi

Montblanc - Hii huitumia tu wakati wowote ninavyojisikia

CK - Nikiwa maskani, sababu yenye ni EDT, harufu yake ni woody iliyopoa hivi

Pia kuna Grand Noir(Mason Francis Kurkdjian, ndugu moja na Baccarat) hatari sana hii ukimuhug mchuchu lazima umuachie harufu yake na Zara BlackTag (summer edition) zijaziweka hapo....
 
View attachment 2434195

summer cocktail...

ADG Profumo EDP
DG - The One EDP
Zara Vibrant Leather EDP
Montblanc Legend EDP
Montblanc Explorer...hii ni deo stick
CK Euphoria Men EDT

ooh shit nilisahau na hii makitu...

Adidas TF hii ni roll on
View attachment 2434214
ungeweka na bei zake au hata wastani wa bei, ingependeza
Ili watu wajue kama ziko kwenye range ya bajeti zao au pengine ni kula kwa macho tu...
 
ungeweka na bei zake au hata wastani wa bei, ingependeza
Ili watu wajue kama ziko kwenye range ya bajeti zao au pengine ni kula kwa macho tu...

Zara na CK zinarange kati ya 150k hadi 180k kutegemea na muuzaji...

Adidas roll on, ni around 10k, kuna jamaa huwa wanaleta toka UK...

Hizo nyingine zimetoka Dubai, sina bei ya maduka ya bongo
ADG Profumo EDP - 450aed approx 280k tshs
DG - The One EDP - 410aed approx 260k tshs
Montblanc Legend EDP - 380aed approx 240k tshs
Montblanc Explorer - 75aed approx 50k tshs
 
Asante kwa hii comment yako, lazima niitafute niongeze kwenye collection yangu...

Maana ukitaka kujua perfume nzuri, upate kura toka kwa mdada...
Ni nzuri mkuu, inanukia kimahaba
 
Back
Top Bottom