Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Og yake ni pesa ngap mkuu, nishawai ulizia sehem nikambiwa dollar 200 na point sijui ndo bei au walitaka kunipiga?
$200 ni almost laki 5 kasoro,,

Inategemea unanunua wapi na ni mils ngapi… me najua mls100 ni laki 2 na nusu
 
Cc aker2011
 
Kifuniko chake kinakua kama na sumaku, ukizungusha kidogo kinafunguka. Nzuri kiasi chake.

Deodorant ni zile za forever.
Me mwenyewe deodorant ni ya Forever 😁

Hiyo naijua, ukiniwekea og na kopi nakutofautishia..

Iko poaa,, ila ukiniweka na Issey Miyake β€˜ miyake anashinda
 
Me mwenyewe deodorant ni ya Forever 😁

Hiyo naijua, ukiniwekea og na kopi nakutofautishia..

Iko poaa,, ila ukiniweka na Issey Miyake β€˜ miyake anashinda

Miyake hiyo level nyingine! Ila Kuna Mnyama mwingine anaitwa Ford sijui kitu Gani? Daaaaah
 
Njoo uione sauvage original aker2011
Perfume number 1…


Almanusura nifall in love kimasihara

Girls love Sauvage aseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]…. Kuna pisi kali mbili zishanifata zinasema I’m smelling gooood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…