Daah, perfume kwenye ngozi?. Mkuu tafadhali Bwana.
Sema kweli nikija 'niivae'
View attachment 2450089
Hizo za juu uko sahihi kabisa.Kaka una collection kali, haswa hizo 3 za juu 212, Allure ni moto
Hapa Kuna unyama mwingiView attachment 2434195
summer cocktail...
ADG Profumo EDP
DG - The One EDP
Zara Vibrant Leather EDP
Montblanc Legend EDP
Montblanc Explorer...hii ni deo stick
CK Euphoria Men EDT
ooh shit nilisahau na hii makitu...
Adidas TF hii ni roll on
View attachment 2434214
Unauzaje mkuu
Au mahal duka lilipo maaan kuna siku nmetafut ya kipand nkakosha nkaangukia kweny shower gel
Niliingia ule mtaa japo skuuulizi maduka yote ila asilimia kubwa niliulizia olaahKariakoo
Mtaa wa Mafia na Jangwani
😍 ivae kabisa, iko na utulivu mwingiSema kweli nikija 'niivae'
View attachment 2450089
Changanya kote kwenye mwili na kweny nguoHapa nipe darasa Kamanda!
Kwani perfume ni ya kujipulizia mwilini moja kwa moja au ni kwenye nguo tu na spray ndiyo ya kwenye mwili?au vyote inawezekana?
Price yakeView attachment 2449215
Unyama huyo hapo unakaribia kumalizikia
Hyo huwa n 25k but sehem zngne wanauza had 30kPrice yake
Niliingia ule mtaa japo skuuulizi maduka yote ila asilimia kubwa niliulizia olaah
Sawa mkuu naomb bhs unitumie pm namba yako ili hii week nikucheckSijumulii kariakoo boss
Hizo huwa naleta special kwa baadhi ya wateja
Hazina demand sana kuzipata Pengine ni Mara chache
Ukifika mitaa hiyo nichek
Unaijuaje hii perfume ya Kike na hii ya kiume..Marquis Perfume-30k
Marquis spray-5k
Ya kiume ina rangi ya bluu
Ya kike rangi ya damu ya mzee
Inanukia vizuri wachuchu wengi waliokuja karibu nami walidai kuipenda
Hii ni Bei gan?View attachment 2387448
Tutulie hapa
UnisexHii nimepewa na friend of mine kutoka Qatar... ni wiki mbili imepita toka ni spray na manukato hayaishi kwenye nguo, nikifua nikipiga pasi ndio kama nimeyaamsha.. bei yake imechangamka kidogo $183. 00View attachment 2449626
Hio cool water ukichanganya na black opium..Sema kweli nikija 'niivae'
View attachment 2450089