Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

[emoji1787][emoji1787] daah, waafrika kupeana compliment ni kitu kigum sana, mtu atabaki anasifia tu harufu ya uturi ndan ya nafsi yake ila mpaka akwambie ujue kashajifikiria sana kwahyo usiwe na shaka na hilo
Daah watu hata hawanipi compliment aise...ila watu wengi wanaonizunguka hawajanizoea sana hususani kanisani...had kuna muda nahisi wananiogopa
 
Juzi katika pitapita zangu,kuna mtaa nilikatiza nikakutana na manukato ya kupima.

Nilichukua kichupa cha "LA COSTE WHITE"
kwangu niliona kawaida ila inakaa na compliments ni za kutosha,
Yuko dada mmoja kaning'ang'ania toka jana nimtajie inaitwaje...

Ubaya imenishinda inanikausha koo.
 
Perfume nzuri upande wangu kwa sasa,
ACCENTO, MOUSOUF GREEN, INTENSE PITCH, ROSE SEDUCTION SECRET. Nazipenda sana, zinakaa kwenye nguo, harufu za kitajiri kwa bei ndogo. Sorry acceto nimekosa picha ake.

For men kuna hayatti, intense man, barakkat red na white, Zara man, Suspenso, Creed nzuri sana hizi, zinapendwa, harufu nzuri

Kwa ambao perfume zinawachanganya mpaka leo hujui upake ipi mtarudi nishukuru[emoji2]

Sorry nyingine picha sioni
 
Mambo ya nose blindness kuna muda najipuliza uturi afu sihusikii au nauona umekuwa haunifurahishi ila anatokea mtu ananiambia "uturi wako unanukia poa sana" [emoji1]
Nadhan ndo kinachokutokea hiko ww waona harufu ya kawaida ila ulie jiran nae kwake inakua harufu poa sana
 
Hakika unachonena ni sahihi kabisa.

Mfano nilinunua black opium,nilipoanza kuitumia harufu yake haikua inanifurahisha kabisa, nikawa najipulizia mara chache chache mwanzo sikua napata compliments.

Baadae from nowhere naona inasifiwa, ofisini,nyumbani pia kuna siku nilienda hospital,niko maabara muuguzi amevumilia wakati nafata majibu nipeleke kwa daktari..

Ikabidi aniulize "kaka nimeshindwa kuvumilia,perfume yako nzuri,inaitwaje.

Toka hapo nikaanza kuipenda.
Bahati mbaya nimeikinai kwa sasa.
 
FOLLOW LINK AGIZA UNUKIE...
 
[emoji1] ndo inavyokuaga
 
Kati ya hiz mbili ipi Bora Zaid na inakaa Sana kwenye nguo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…