Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Creed AventusWakuu, cologne/perfume gani Kali, bajeti yangu ni kuanzia 100,000 hadi 150,000.
De nuit intense man kali sana... Ninayo WhatsApp 0753669856Wakuu, cologne/perfume gani Kali, bajeti yangu ni kuanzia 100,000 hadi 150,000.
25,000Unauzaje?
tafuta ile ya black mfuniko wa silverVip mkuu tuish na lamz lattafa!.?
hyo lattfa (silver) tangu niifahamu mwaka jana hakuna ambaye anaacha kunisifia aiseeeKwangu mimi naona iko poa ila kila mtu na chaguo lake unaweza jaribu zipo na nyingine hapo juu wadau wametaja kama royal mirage you can test the feeling and enjoy your life mkuu maisha ndio haya haya mkuu.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Ramz lataffa ulinunua wapi mkuu naitafuta na ni bei ganRamza lattafa niliona humu humu kwenye thread nikanunua ipo vizuri
Dove niliona humu humu nikanunua sasa afadhali ngozi inang'aa tatizo wanaume tunaona mambo ya urembo ni mambo ya kike ndio shida.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Nipe chimbo mkuu niibuke na bei na picha kama unayo nisije koseahyo lattfa (silver) tangu niifahamu mwaka jana hakuna ambaye anaacha kunisifia aiseee
25kRamz lataffa ulinunua wapi mkuu naitafuta na ni bei gan
Nahitaji hii mkuu naipataje
Hakuna kitu kizuri kinachopatikana kwa bei ndogo..very rare.Nikajua kama elfu 25000. Sisi tunataka vitu vizuri kwa bei ndogo
Upo sehemu gani?Nahitaji hii mkuu naipataje
Vipo Darmian.Hakuna kitu kizuri kinachopatikana kwa bei ndogo..very rare.
Nakuja PmUpo sehemu gani?
hakikisha unachukua hyo ya mfuniko wa silver hyo kma nyekundu ni kali sanaNahitaji hii mkuu naipataje
Bei gan chiefamazing world ramz lattafa silver usithubutu kulinganisha na upuuzi wa kawaida na hii kitu
original brand
first time kutumia hii kitu ilikuwa 2018 nikiingia sehemu watu macho yote kwangu kama MO dewji toka hapo sijawahi iacha mpaka leo
View attachment 2512445
Nimeipata leo mkuu ngoja nitumie nionehakikisha unachukua hyo ya mfuniko wa silver hyo kma nyekundu ni kali sana
Perfume ya kiarabu au ??? Maana sisi wengine tunaingia kanisani
Sh ngapi??amazing world ramz lattafa silver usithubutu kulinganisha na upuuzi wa kawaida na hii kitu
original brand
first time kutumia hii kitu ilikuwa 2018 nikiingia sehemu watu macho yote kwangu kama MO dewji toka hapo sijawahi iacha mpaka leo
View attachment 2512445