Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Kwangu mimi naona iko poa ila kila mtu na chaguo lake unaweza jaribu zipo na nyingine hapo juu wadau wametaja kama royal mirage you can test the feeling and enjoy your life mkuu maisha ndio haya haya mkuu.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
hyo lattfa (silver) tangu niifahamu mwaka jana hakuna ambaye anaacha kunisifia aiseee
 
Aventos, plus Dove sabuni na lotionView attachment 2497473

IMG_4245.jpg

Next time tafuta hii
 
amazing world ramz lattafa silver usithubutu kulinganisha na upuuzi wa kawaida na hii kitu

original brand


first time kutumia hii kitu ilikuwa 2018 nikiingia sehemu watu macho yote kwangu kama MO dewji toka hapo sijawahi iacha mpaka leo

20230210_123049.jpg
 
Back
Top Bottom