Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Swali langu nataka kujuwa nikitaka product zako napata Kwa njia IPI?Sina duka Mkuu
Ila nadhani maelezo ninayotoa yamejibu na maswali ambayo ungeniuliza mbeleni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali langu nataka kujuwa nikitaka product zako napata Kwa njia IPI?Sina duka Mkuu
Ila nadhani maelezo ninayotoa yamejibu na maswali ambayo ungeniuliza mbeleni.
Shingapi wanauza ya kupima?Black opium ni nzuri sana
Hata mimi naipenda mno Mkuu,
Pengine naipenda kuliko perfume nyingine zoote.
Black opium shingapi wanapima bei zake.kma unapenda black opium pasi na shaka, utapenda na hzi.
pink chiffon
sweet passion
lanuit tressor
barry the weekend
jo malone
my way
Bei inategemeana na ujazo unaotaka.Shingapi wanauza ya kupima?
Sasa mbona wewe ml 100 unauza 30k tena na vikorokoro vingineBei inategemeana na ujazo unaotaka.
Wengi
mils 3 ni 3.5k
12 Mils ni 10k
30mils 15-25k.
50 mils 35k
Na kuendelea
Na kuendduu
Ukitaka products zangu kwa DSM nafanya free delivery mahali ulipoSwali langu nataka kujuwa nikitaka product zako napata Kwa njia IPI?
simu namba ya biashara?Ukitaka products zangu kwa DSM nafanya free delivery mahali ulipo
Au unaweza kuja kuangalia mahali nilipo ,Mbezi karibu na Magufuli Terminal DSM.
Natuma kwa gharama ya mteja,wale waliopo mikoa nje na DSM.
Duka lako linaitwaje nije hapo nikuletee hela, unipe uturi.Au unaweza kuja kuangalia mahali nilipo ,Mbezi karibu na Magufuli Terminal DSM.
Zipo za aina mbiliSasa mbona wewe ml 100 unauza 30k tena na vikorokoro vingine
Ukihitaji nakutumia nambasimu namba ya biashara?
Sina dukaDuka lako linaitwaje nije hapo nikuletee hela, unipe uturi.
Hauko serious na online business, anayekupenda anakueleza ukweli, hata swali langu la kwanza ulipaswa kunitosheleza maelezo yote Kwa post moja.Ukihitaji nakutumia namba
Sijaiweka direct hapa jukwaani kutokana na sababu Fulani..
Ila nashughulikia hili suala la namba itakayokuwa maalum kwa ajili ya biashara.
Nipo Mbezi kwa Yusufu nitajuaje maskani yako hapo Magufuli wakati sina namba yako ya simu?Sina duka
Nauzia nyumbani..
Ukihitaji nakufanyia free delivery hadi ulipo
Au unaweza kuja kuchagua mwenyewe mahali nilipo.
Akhsante Mkuu kwa ushauri.Hauko serious na online business, anayekupenda anakueleza ukweli, hata swali langu la kwanza ulipaswa kunitosheleza maelezo yote Kwa post moja.
Ukihitaji nakutumia,japo ni namba ambayo si rasmi na ndiyo maana sijaiweka hapa.Nipo Mbezi kwa Yusufu nitajuaje maskani yako hapo Magufuli wakati sina namba yako ya simu?
Tafuta namba ya biashara, ongea na watu wa Tigo wakupe na line ya lipa kwamba.Ukihitaji nakutumia,japo ni namba ambayo si rasmi na ndiyo maana sijaiweka hapa.
Nashughulikia suala la namba permanent ya kutumia hapa,ikishakuwa tayari nitaweka.
Karibu nikuuzie perfume
25k tu
Ina spray yake ndani.
dove sabuni unanunua pekeyake 5000
Na shower gel 9000.
Nipo kwenye mchakato Mkuu,Tafuta namba ya biashara, ongea na watu wa Tigo wakupe na line ya lipa kwamba.
Matumizi ya kawaida tu kama sabuni nyingine.Hiyo sabaun ya 5000 inatumik kwa muda gan
Na hyo shower gel ya 9000 matumiz yake n yapi
(Au ni mafuta au lotion)
Matumizi ya kawaida tu kama sabuni nyingine.
Wengine hupendelea kunawia uso.
Shower gel kwa ajili ya kuogea.