Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Naisubiri hiyo namba rasmi.Ukihitaji nakutumia,japo ni namba ambayo si rasmi na ndiyo maana sijaiweka hapa.
Nashughulikia suala la namba permanent ya kutumia hapa,ikishakuwa tayari nitaweka.