Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

IMG_4849.jpg

IMG_4838.jpg

IMG_4846.jpg

Hayaaa mizigo mipya hiyo



Ukihitaji perfume nichek

Duka lipo kariakoo Mtaa wa Mafia
 
Ramza lattafa niliona humu humu kwenye thread nikanunua ipo vizuri
Dove niliona humu humu nikanunua sasa afadhali ngozi inang'aa tatizo wanaume tunaona mambo ya urembo ni mambo ya kike ndio shida.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Tutajuaje km ngozi inangaa kweli?tuma picha tuthaminishe yaliyomo yamoo?au ndo yale yalee jina la mpalange ni ubini wa mxunguu
 
Jamani nawakumbusha tyuu wanaume tusije tukanukia sanaa kuzidi "ke" watu wakashindwa kukutofautisha,,,wanywa vyombo hutongoza kwenye disko light zile hivyo hala hala tubalance minukio,,,,usinukie sana km jinii!!
 
🔔
 

Attachments

  • IMG-20230210-WA0007.jpg
    IMG-20230210-WA0007.jpg
    97 KB · Views: 38
  • IMG-20230210-WA0006.jpg
    IMG-20230210-WA0006.jpg
    57.6 KB · Views: 32
Back
Top Bottom