Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Sasa mbona wewe ml 100 unauza 30k tena na vikorokoro vingine
Zipo za aina mbili

Za kupima na ambazo si za kupima(hizi zimekuwa sealed,siandai Mimi)Na bei yake kidogo ipo chini kuliko hizo za kupima.


Bei hizi zinatofautiana.
Nadhani sababu kubwa ni kwamba hizi za kupima zinajumlisha gharama za chupa,na vifaa vya kupimia.
 
Ukihitaji nakutumia namba
Sijaiweka direct hapa jukwaani kutokana na sababu Fulani..
Ila nashughulikia hili suala la namba itakayokuwa maalum kwa ajili ya biashara.
Hauko serious na online business, anayekupenda anakueleza ukweli, hata swali langu la kwanza ulipaswa kunitosheleza maelezo yote Kwa post moja.
 
Hiyo sabaun ya 5000 inatumik kwa muda gan

Na hyo shower gel ya 9000 matumiz yake n yapi
(Au ni mafuta au lotion)
Matumizi ya kawaida tu kama sabuni nyingine.
Wengine hupendelea kunawia uso.

Shower gel kwa ajili ya kuogea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…