Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia


Siyo My way? Ambayo hiyo ni copy ya away
 
Elfu 65 kanunua kwa bei kubwa.
Njoo nikuuzie hiyo ur way,25k
 
Jamani hebu muweke na bei inasaidia kujua quality kwa sisi wengine.
Utapigwa za kichwa ukiangalia bei maana wakishakujua watakubambikia fake kwa bei ya og cha msingi fahamu maduka genuine na bidhaa zake. Kuna dada kkoo ananiletea za kupima mwanzo alikua anachakachua baadae akaniambia tu ukweli na nikawa mteja wake baada ya kugundua mchezo wake.

Perfume za kupima ni kali yao sana japo kuna unyunyu unakuta upo packed tayari alooo huchomoi. Vitu mwake baba ake
 
Nipo Dar dear
Wengi siku hizi wanachakachua sana.

Jaribu kwa Apende Perfumes wapo Manzese Tiptop opposite na vunjabei

Pia jaribu kwa waarabu Fulani wapo shimoni pale
Ukitokea msimbazi polisi ile barabara,kabla hujafika shimoni,upande wa kushoto kuna duka la vitambaa.
Hapo wanauza perfumes za kupima.
Hawa kidogo perfume zao hawachakachui sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…