DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Haha za kupima hapana...Zinazokaa muda mrefu labda nunua za kupima.
Zinashikilia nguo hata ukifua bado inanukia.
Cool water
Sauvage
Lacoste
Blew chance
Manly man
Black opium
Yaani nzuri ni nyingi mno
Karibu kuuliza Kwa HornetHaha za kupima hapana...
Nilikuwa natumia Ameer al oudh
Ila iliisha halafu nimezunguka nimeiokosa sasa sijui kama utakuwa nayo au una acces na sehemu nayoweza kuipata
Hornet ni wapi?Karibu kuuliza Kwa Hornet
Mkuu weka na beiMy best male Perfume 2023
1. Blue Channel
2. Percival
3. Baccarat Rouge 540
4. Hugo Energizer
5. One million
6. Lacoste essential
7. Invictus
8.Hugo boss
9. Black orchid
10. Pi Givenchy
WEKA na Bei mkuuMasculine
WEKA NA BEI MKUUChoco musk tafuten hii Kitu mnishukuru badae
MKUU SHINGAPI HUU MZIGOGiorgio armani stronger with u
Huu unyunyu unanifanyga nijihisi namiliki bandari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MKUU TAJA NA BEI.Cc Hornet nimepokea mzigo wa 1milion
Ipo on fire [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Hii ofa katupa member mwenzetu ana perfume kama zote bila kusahau creed na mousof
MKUU NAOMBA NIPATE NAMBA YAKO YA SIMU.View attachment 2719054
Unyama naugawa free kabisa .. member wawili wajitokeze .. walete na mrejesho hapa .. Yaani utalipia delivery tu ila mzigo free kabisa
Hii bi mkubwa labda uuze bandari tatu.
Unataka kunukia kama mademu wa Ibiza mkali?Nahitaji hii perfume, nipo Dar chanika 0689894403.View attachment 2700409
mkuu sehemu gani kkoo wanafanya hizi mixing? na bei ya chini ni ngapi?fanyeni mixer ya
Strawberry +hugo boss
ni hatar sanaaaaa
Kama mpunga upo nunua kwa laki 9Ndo nimetoka apa kwenye dula la perfume laki 9