qualalumpagrinder
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 464
- 806
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wekeni beiDubai Scent
30Wekeni bei
No 2 na 7 ni [emoji91][emoji91][emoji91]My best male Perfume 2023
1. Blue Channel
2. Percival
3. Baccarat Rouge 540
4. Hugo Energizer
5. One million
6. Lacoste essential
7. Invictus
8.Hugo boss
9. Black orchid
10. Pi Givenchy
LacosteZinazokaa muda mrefu labda nunua za kupima.
Zinashikilia nguo hata ukifua bado inanukia.
Cool water
Sauvage
Lacoste
Blew chance
Manly man
Black opium
Yaani nzuri ni nyingi mno
Mkuu weka na bei
No 2 na 7 ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Lacoste
[emoji91][emoji91][emoji91]
Huyu Muiran yupo kariakoo sehemu gani?Hizo perfume zote hapo zimeanzia USD 250- 500 kwa brand original..
But kwa zakupima ..dsm..
Kwa yule muirani kariakoo.. au Esmat zinapatikana kwa bei ya kupima kwa ujazo unaotaka..
Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635
Mkuu wazalishaji wa Perfume huwa wanaacha kuzalisha perfume baada ya muda fulani..hiyo Perfume iliyoongelewa hapo ilizalishwa kwa mara ya kwanza mwaka 2011 hivyo uwezekano wa kuwepo sokoni ni mdogo.Habari nimeitafuta sana hii perfume lakini sijafanikiwa, niko Zanzibar, naomba unifahamishe wapi naweza ipata. please contact me through 0755873066
[emoji1787]Mkuu wazalishaji wa Perfume huwa wanaacha kuzalisha perfume baada ya muda fulani..hiyo Perfume iliyoongelewa hapo ilizalishwa kwa mara ya kwanza mwaka 2011 hivyo uwezekano wa kuwepo sokoni ni mdogo.
Halafu ni vema hawa wachangiaji wengine waache sifa zisizokuwa na msingi, huyu jamaa mwaka 2016 anasema amekuwa akiitumia Bottega Venetta kwa miaka zaidi ya 18 wakati kampuni ya Bottega Venetta ambayo pia huzalisha bidhaa za Ngozi na Pamba ilianza kuzalisha/ kutengeneza Manukato mwaka 2011..Je 2011 hadi 2016 imefika miaka 18( sifa za kishamba).
Sh ngapi na location zinakopatikana mkuuKwa wapenzi wa perfume za udi au haliudi my best is AMIIRIL-UUD ipo njema sana ma harufu yake inakawia kutoka..
Touch me body spray Kali sanaKuna kitu inaitwa elope kuna mtu katumia humu na kama ndio vip ipoje kwa perfume na body spray
Lkn pia ukiachana na dolby na dark fever na body spray gan kali sn ambayo si me wala ke anaweza tumia
Inakaa mda gan ukiipuliziaTouch me body spray Kali sana
Katika hizi zipi haruf yake imepoa sanaaaa na zinanukia vizuri na zina bei kati ya 50,000 hadi 100,000 Depal Hornet nanyi nipeni ushauri perfume/spray gani za kike ya bajeti ya 50,000 -100,0000? anayenunuliwa amekuwa akitumia sana fasio spray na perfume yake kwa kifupi hapend za haruf kali anapenda zilizo poa but zina haruf nzuri. 🙏🙏🙏 kwa majibu mtakayonipa.kwangu perfume za kike nazirate hvi kwa uzuri
1. Escada Red sorbet
2. Lanuit tressor ysl
3. pink chiffon
4. sweet passion
5. Eden Apple Juicy
6. Riri by rihana
7. escada cherry in the Air
8. sexy graffiti
9. pink sugar
10. Black Opium
11. My way
12. Lavi Este belle
Pink sugarKatika hizi zipi haruf yake imepoa sanaaaa na zinanukia vizuri na zina bei kati ya 50,000 hadi 100,000 Depal Hornet nanyi nipeni ushauri perfume/spray gani za kike ya bajeti ya 50,000 -100,0000? anayenunuliwa amekuwa akitumia sana fasio spray na perfume yake kwa kifupi hapend za haruf kali anapenda zilizo poa but zina haruf nzuri. [emoji120][emoji120][emoji120] kwa majibu mtakayonipa.