Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

My best male Perfume 2023

1. Blue Channel
2. Percival
3. Baccarat Rouge 540
4. Hugo Energizer
5. One million
6. Lacoste essential
7. Invictus
8.Hugo boss
9. Black orchid
10. Pi Givenchy
No 2 na 7 ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hizo perfume zote hapo zimeanzia USD 250- 500 kwa brand original..

But kwa zakupima ..dsm..

Kwa yule muirani kariakoo.. au Esmat zinapatikana kwa bei ya kupima kwa ujazo unaotaka..
Huyu Muiran yupo kariakoo sehemu gani?
 
E94E7741-414C-4EE7-80EC-BAF3D83CD97E.jpeg
 
Habari nimeitafuta sana hii perfume lakini sijafanikiwa, niko Zanzibar, naomba unifahamishe wapi naweza ipata. please contact me through 0755873066
Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamuView attachment 361635
 
Habari nimeitafuta sana hii perfume lakini sijafanikiwa, niko Zanzibar, naomba unifahamishe wapi naweza ipata. please contact me through 0755873066
Mkuu wazalishaji wa Perfume huwa wanaacha kuzalisha perfume baada ya muda fulani..hiyo Perfume iliyoongelewa hapo ilizalishwa kwa mara ya kwanza mwaka 2011 hivyo uwezekano wa kuwepo sokoni ni mdogo.
Halafu ni vema hawa wachangiaji wengine waache sifa zisizokuwa na msingi, huyu jamaa mwaka 2016 anasema amekuwa akiitumia Bottega Venetta kwa miaka zaidi ya 18 wakati kampuni ya Bottega Venetta ambayo pia huzalisha bidhaa za Ngozi na Pamba ilianza kuzalisha/ kutengeneza Manukato mwaka 2011..Je 2011 hadi 2016 imefika miaka 18( sifa za kishamba).
 
[emoji1787]
 
Kuna kitu inaitwa elope kuna mtu katumia humu na kama ndio vip ipoje kwa perfume na body spray

Lkn pia ukiachana na dolby na dark fever na body spray gan kali sn ambayo si me wala ke anaweza tumia
 
kwangu perfume za kike nazirate hvi kwa uzuri

1. Escada Red sorbet

2. Lanuit tressor ysl

3. pink chiffon

4. sweet passion

5. Eden Apple Juicy

6. Riri by rihana

7. escada cherry in the Air

8. sexy graffiti

9. pink sugar

10. Black Opium

11. My way

12. Lavi Este belle
Katika hizi zipi haruf yake imepoa sanaaaa na zinanukia vizuri na zina bei kati ya 50,000 hadi 100,000 Depal Hornet nanyi nipeni ushauri perfume/spray gani za kike ya bajeti ya 50,000 -100,0000? anayenunuliwa amekuwa akitumia sana fasio spray na perfume yake kwa kifupi hapend za haruf kali anapenda zilizo poa but zina haruf nzuri. 🙏🙏🙏 kwa majibu mtakayonipa.
 
Katika hizi zipi haruf yake imepoa sanaaaa na zinanukia vizuri na zina bei kati ya 50,000 hadi 100,000 Depal Hornet nanyi nipeni ushauri perfume/spray gani za kike ya bajeti ya 50,000 -100,0000? anayenunuliwa amekuwa akitumia sana fasio spray na perfume yake kwa kifupi hapend za haruf kali anapenda zilizo poa but zina haruf nzuri. [emoji120][emoji120][emoji120] kwa majibu mtakayonipa.
Pink sugar
Sweet passion
 
Back
Top Bottom