DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Haha za kupima hapana...Zinazokaa muda mrefu labda nunua za kupima.
Zinashikilia nguo hata ukifua bado inanukia.
Cool water
Sauvage
Lacoste
Blew chance
Manly man
Black opium
Yaani nzuri ni nyingi mno
Nilikuwa natumia Ameer al oudh
Ila iliisha halafu nimezunguka nimeiokosa sasa sijui kama utakuwa nayo au una acces na sehemu nayoweza kuipata