Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Sugar hujawahi ulizwa? Wanaokuzunguka hawako serious 😁

Nikipuliza pnk sugar aisee me mwenyewe naskia raha… na simalizi siku zijaulizwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sugar hujawahi ulizwa? Wanaokuzunguka hawako serious 😁

Nikipuliza pnk sugar aisee me mwenyewe naskia raha… na simalizi siku zijaulizwa
Hawako serious kabisa yaani

Hakuna perfume tamu kama pink sugar
Hiyo my way haijaifikia pink sugar kwa uzuri

Sema wakati natumia sugar nilikuwa namix na Sweet passion na Black opium, strawberry..nikawa sitabiriki,mtu haelewi anaisikia ipi😂
Ila pink sugar yaani unyama ni mwingi pale aisee 🔥
Utamu unausikilizia kuanzia unapoipuliza.
 
sijui nijichanganye tena
 
Mtajie kbs na chimbo la kuipata asije nunua fekero bure akanukia kama sumu ya kuulia mende
Sijajua kama ananunua za kupima ama zisizo za kupima.

Kama za kupima nitampa chimbo zuri la bei nafuu na quality perfume.

Machimbo mengine wanajaza maji sana.
 
Habari zenu.

Nataka nichukue hizo perfume mbili nione uzuri mnaosema.
  • My way
  • black opium

Bajeti yangu kwa zote mbili jumla maximum 50,000 - 60,000/=

Nazipata wapi?

Kwa sasa natumia Lacoste White ya kupima, hainipi mzuka tena kiviile.
Chukua zote
Mils 30 each
Utazipata zote na chenji itabaki..ikibaki chukua Cool water uchanganyie na B Opium

Nenda Manzense Big brother karibu na vunjabei
Utazipata kwa Apende
Au

Nenda Msimbazi barabara ya polisi,duka la kwanza la vitambaa kabla hujafika jengo la shimoni...utapata pale nzuri za kupima kwa bei nafuu kuliko kwa Apende.
Note;Huu mtaa una maduka mengi ya kupima ila hilo naona hawajazi maji kabisa,,kitu pure unapewa.

Yapo machimbo mengine ya Bei nafuu zaidi kuliko hizo ila maji maji maji
Ukikaa vibaya unawekewa maji mengi,unless uwe mzoefu sana ndio hautapigwa.

Machimbo mengine ndio hayo popular Yakina EmatScent na wenzie...
Mie nimewapa machimbo ya kuswahilini ambayo unapata kitu sawa na ya kishua.

Mengine ya Zenji ila ya jumla.
 
Hizo perfume zote hapo zimeanzia USD 250- 500 kwa brand original..

But kwa zakupima ..dsm..

Kwa yule muirani kariakoo.. au Esmat zinapatikana kwa bei ya kupima kwa ujazo unaotaka..
Location ya muirani ni wapi kiongozi?
 
Sijajua kama ananunua za kupima ama zisizo za kupima.

Kama za kupima nitampa chimbo zuri la bei nafuu na quality perfume.

Machimbo mengine wanajaza maji sana.
naomba chimbo hilo please niende jisevia huo ushauri nasaha
 
Habari zenu.

Nataka nichukue hizo perfume mbili nione uzuri mnaosema.
  • My way
  • black opium

Bajeti yangu kwa zote mbili jumla maximum 50,000 - 60,000/=

Nazipata wapi?

Kwa sasa natumia Lacoste White ya kupima, hainipi mzuka tena kivi

Habari zenu.

Nataka nichukue hizo perfume mbili nione uzuri mnaosema.
  • My way
  • black opium

Bajeti yangu kwa zote mbili jumla maximum 50,000 - 60,000/=

Nazipata wapi?

Kwa sasa natumia Lacoste White ya kupima, hainipi mzuka tena kiviile.
•Hyo lacoste vipi ina unyama nikuige au kawaida??
•Club de nuit intense man umewah tumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…