Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mambo vipi, naomba kil mmoja anipendekezee pafyum moja(za kupima) zile za kugeuza vichwa na masafa marefu mtaa wa 6 waipate harufu nataka niruke nazo december hii, nijizawadie [emoji1]
Depal Saint Anne Ambition plus Mlolongo
Pamoja saba, shukran212 VIP men
Versace Eros Men
Sema niliruka na huu ushauri nikaagiza hiyo kitu kwa Emat asee, kwangu mimi ni miongoni mwa worst products nilizowahi tumia. Nikifungua tu kifuniko napiga chafya kabla ya kujipulizia.Bitter peach [emoji527] hii kitu ina harufu ya kizungu sana(kiboss boss) kama nilivyosema huko juu, ila sii kwa ajili ya kila mtu...tafuta sample uijaribu kwanza kama ujanunua usije nilaumu...
For now natumia "The only one" ya kupima, inakaa sana na haikeri labda ujimwagie nyingi..
Six spray, I'm good to go.
Safi, ntakaribiaKaribuni mniungishe perfume 0786426284 piga simu sema TIBA_PERFUME nauza perfume za aina zote boss zangu, duka langu lipo (EXTERNAL UBUNGO) watu wa dar es salaam nafanya free delivered NA mkoani natuma kwa ghalama za mteja pia unaweza ukatembelea page yangu ya instagrame natumia kama TIBA_PERFUME utakutana na kazi zote zinazotamba mjini....
KARIBUNI..
Laki ngapi?Tafuta perfume iitwayo CREED ipo ya kupima na ile sealed kama utumii hii wewe bdo sio gentlemen
Umeikosa nicheki dm
I feel you mkuu,Sema niliruka na huu ushauri nikaagiza hiyo kitu kwa Emat asee, kwangu mimi ni miongoni mwa worst products nilizowahi tumia. Nikifungua tu kifuniko napiga chafya kabla ya kujipulizia.
Pesa yangu iliteketea bure wife alijaribu nae katoka nduki imebaki kama pambo tu kabatini. Mara mia zile product za Syria
Hapo unapata za kupima kwa f15 yako aina yytNipeni jina ya kitu kikali ambacho hakizidi 15K
[emoji23]Endelea kunuka
Emat perfume zake kali, sio uongo.Sema niliruka na huu ushauri nikaagiza hiyo kitu kwa Emat asee, kwangu mimi ni miongoni mwa worst products nilizowahi tumia. Nikifungua tu kifuniko napiga chafya kabla ya kujipulizia.
Pesa yangu iliteketea bure wife alijaribu nae katoka nduki imebaki kama pambo tu kabatini. Mara mia zile product za Syria
Ya pink au ile brown?Mousof
Ya pink au ile brown?
Ya pink ushaitest?Brown ni nomaa