Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Bitter peach [emoji527] hii kitu ina harufu ya kizungu sana(kiboss boss) kama nilivyosema huko juu, ila sii kwa ajili ya kila mtu...tafuta sample uijaribu kwanza kama ujanunua usije nilaumu...

For now natumia "The only one" ya kupima, inakaa sana na haikeri labda ujimwagie nyingi..

Six spray, I'm good to go.
Sema niliruka na huu ushauri nikaagiza hiyo kitu kwa Emat asee, kwangu mimi ni miongoni mwa worst products nilizowahi tumia. Nikifungua tu kifuniko napiga chafya kabla ya kujipulizia.
Pesa yangu iliteketea bure wife alijaribu nae katoka nduki imebaki kama pambo tu kabatini. Mara mia zile product za Syria
 
Karibuni mniungishe perfume 0786426284 piga simu sema TIBA_PERFUME nauza perfume za aina zote boss zangu, duka langu lipo (EXTERNAL UBUNGO) watu wa dar es salaam nafanya free delivered NA mkoani natuma kwa ghalama za mteja pia unaweza ukatembelea page yangu ya instagrame natumia kama TIBA_PERFUME utakutana na kazi zote zinazotamba mjini....
KARIBUNI..
 
Safi, ntakaribia
 
Tafuta perfume iitwayo CREED ipo ya kupima na ile sealed kama utumii hii wewe bdo sio gentlemen

Umeikosa nicheki dm
 
Sema niliruka na huu ushauri nikaagiza hiyo kitu kwa Emat asee, kwangu mimi ni miongoni mwa worst products nilizowahi tumia. Nikifungua tu kifuniko napiga chafya kabla ya kujipulizia.
Pesa yangu iliteketea bure wife alijaribu nae katoka nduki imebaki kama pambo tu kabatini. Mara mia zile product za Syria
I feel you mkuu,
Haitoshi kujaribu mara moja, jaribu kutumia tena kwa kiasi kidogo mno, opening yake inaweza kua strong ila dry down [emoji91].

Kuna baadhi ya unyunyu niliwahi nunua kutokana na reviews, sikujaribu sample
Moja ilinipa allergy kabisa sikutumia unyunyu kwa miezi na hata nikisikia umejinyunyuzika napata kifua na mafua makali..

Mbili sikuzipenda kabisa ila zimekua zikisifiwa sana nikajukuta naendelea kuzitumia mpaka na mimi nimezipenda.
 
212 VIP men
Versace Eros Men
Hizi mbili ni balaa
20240105_001302.jpg
 
Sema niliruka na huu ushauri nikaagiza hiyo kitu kwa Emat asee, kwangu mimi ni miongoni mwa worst products nilizowahi tumia. Nikifungua tu kifuniko napiga chafya kabla ya kujipulizia.
Pesa yangu iliteketea bure wife alijaribu nae katoka nduki imebaki kama pambo tu kabatini. Mara mia zile product za Syria
Emat perfume zake kali, sio uongo.
Yan uwa napulizia nguo, naingia kuoga. Mpaka nitoke imekaa moderate.

Syria perfume baba lao, nimetumia pink sugar yao aisee ni kunukia utamu tu
 
Back
Top Bottom