Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tafuta ambazo hazina alcohol hasa nimeona za Dove... Zenye alcohol zinaongeza weusi makwapani na mambo kama cancer ya maziwa kwa wanawake.
Dove mbona naonaga kama wana product nyingi za kike,for men zipo?
 
Inaitwaje iyo perfume?
 
Mi ninayo ila sio ya ivi,nilinunua 160, iyo nadhani ni elfu 20-30.[/QUOTE]
Hii yenyewe mi ni mlevi wa perfume miaka mingi..nakumbuka kwenye maisha yangu nimepigwa feki moja tu ya Gucci by Gucci nilipochukulia hii wanauza bei ya Jumla 85,000/...nanayo na Black box unafa nguo bado ipo.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…