Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Tafuta ambazo hazina alcohol hasa nimeona za Dove... Zenye alcohol zinaongeza weusi makwapani na mambo kama cancer ya maziwa kwa wanawake.
Dove mbona naonaga kama wana product nyingi za kike,for men zipo?
 
69cf18d85829b2fa0ceb7e979fe6b920.jpg

Me natumia hii bidhaa ya oriflame iko poa sana
Safi sana ndugu ikiisha hiyo waweza kumcheki mwanadada mrembo anaitwa vivian lymo na utaipata popote ulipo. Namba yake ya simu ni 0672416294 karibu sana
 
Lazima yawe ya bei bei kidogo hizi cheap perfume nyingi ni mtihani. Mind me tunaishi na bf mbali mbali lakini huwa nikiondoka nachukua kitambaa changu cha mkononi na kipulizia perfume yake ambayo hata nikifua haitoki na miminia kweli na huwa naweka chini ya mto ninao lalia. Hadi siku tukionana tena nitapulizia tena. Mambo ya distance yanatesa sana.
Inaitwaje iyo perfume?
 
Mi ninayo ila sio ya ivi,nilinunua 160, iyo nadhani ni elfu 20-30.[/QUOTE]
Hii yenyewe mi ni mlevi wa perfume miaka mingi..nakumbuka kwenye maisha yangu nimepigwa feki moja tu ya Gucci by Gucci nilipochukulia hii wanauza bei ya Jumla 85,000/...nanayo na Black box unafa nguo bado ipo.!
 
Back
Top Bottom