Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Hiyo inauzwa laki na ishirini kwa bei za kujuana madukan ukiikuta ni laki na nusu lakin ipo vizuri sana tena sana ukiipulizia hadi nguo ikifuliwa ikaanikwa bado inanukia
 
Botega veneta ndio habari ya mjini,itumie hutojuta haisee,mwaka Wa 18 huu naitumia,asilimia 80% ya wapenz wangu niliwapatia sababu ya perfume2,nakumbuka adi lecture Wa kike alishaniita ofisini nikamuuliza kulikoni akaniambia harufu ya perfume yangu inampa ashki za kufanya mapnz mpka nikaona aibu kumtizama ,hiwezi amini hivi kitu ofisini sasa nisipokuwepo utajua tu,wafanyakaz wenzangu Wa kike wananipenda usipime kisa perfume2 dahaa botega inawatega kweli!! Ijaribuni ndugu zangu japo cjawai kuwaambia marafiki zangu japo wengi walipenda niwaambie jina LA perfume!! Basi Leo nimemwaga mchele sasa,ila kua makini ukishaanza kuitumia kama unadada zako wataitumia iishee maanake wataipenda sana! Weka mbali na watoto Wa kike !? Naweka chini kalamu
 
Hii ni usd 170 nzuri mnoo
Tena bora kuagiza ili upate original

Naomba

Wewe unakopi swagga zangu wewe. Umeona mimi naisifia Bottega na wewe eti leo ndo unaanza. Come on dude.

Cc: kui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…